Posted on: July 25th, 2023
Mwenge wa Uhuru 2023 umezindua rasmi jengo la dharula la hospitali ya Wilaya ya Sengerema lililogharimu juml;a ya shilingi 718,000,000 ikiwa ni pamoja na vifaa vyake.
Akizindiua jengo hilo Kiongozi...
Posted on: July 26th, 2023
Wafanya biashara wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mnatangaziwa kuanza kutumia mfumo mpya kwa ajili ya malipo ya tozo mbalimbali za Halmashauri...
Posted on: July 21st, 2023
Kifuatia baraza la mitihani kutangaza matokeo ya kidato cha sita 2023, na sekondari ya Sengerema kufanya vizuri kwenye matokeo hayo imebainika kuwa umoja na ushirikiano baina ya walimu, Idara ya Elimu...