• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Tehama na Takwimu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Uhasibu
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasiri na Uhifadhi wa Mazingira
      • Taka ngumu na Usafishaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA SIASA SENGEREMA YAKOSHWA NA UBORA WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: July 4th, 2024

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Wilayani Sengerema imeridhishwa na ubora wa miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ambapo wamewataka wataalamu wanaosimamia miradi hiyo kuongeza umakini katika usimamizi ili miradi hiyo iwe na tija kwa jamii.


Wakiongea kwa nyakati tofauti wakati wa ziara ya kamati hiyo ya kukagua miradi ya maendeleo wajumbe hao wamewataka wataalamu katika kila sekta kuhakikisha miradi inayotekelezwa inakuwa yenye ubora na thamani ya fedha iliyotumika iweze kuonekana.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Sengerema, Mark Agustine Makoye amesema katika miradi yote iliyotembelewa na kamati hiyo kwa kiasi kikubwa wameridhishwa na ubora wa mradi hiyo, hivyo amewataka watalaamu kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa wilayani Sengerema inasimamiwa vyema    na thamani ya fedha iweze kuonekana.


"Tumekagua na kufanya tathimini katika miradi yote tuliyotembelea, zaidi ya asilimia sabini ya miradi inaenda vizuri" amesema Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Sengerema.


Wakikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha kata ya Nyamazugo wajumbe hao wamepongeza ubora wa mradi huo na wameutaka uongozi wa Halmashauri kuhakikisha mradi huo unafanyiwa marekebisho ya mapungufu yote yaliyojitokeza ili thamani ya fedha katika mradi huo iweze kuonekana.

Wajumbe hao pia wameagiza Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema kuhakikisha wanakamilisha mapungufu yote yaliyopo katika hospitali ya Wilaya ya Sengerema iliyopo Mwabaluhi  ikiwemo matengenezo ya  barabara inayoelekea hospitalini hapo, njia za watembea kwa miguu katika hospitali hiyo pamoja na vifaa tiba ili hospitali hiyo ianze kutoa huduma kwa mapema iwezekanavyo.

Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mhe. Hamis Tabasamu ameutaka uongozi wa Halmashauri kuhakikisha mazingira ya hospitali hiyo yanakuwa safi muda wote pamoja na uwepo wa njia za watembea kwa miguu na zenye kurahisisha uhamishwaji wa wagonjwa ndani ya hospitali hiyo.

Miradi mingine iliyotembelewa na kamati hiyo ni pamoja na Matengenezo ya Barabara ya Tabaruka-Buyagu, ukamilishaji wa vyumba viwili vya madarasa sekondari ya Buyagu, ujenzi wa nyumba ya watumishi Zahanati ya Bitoto, ujenzi wa matundu 26 ya vyoo shule ya msingi Mweli na mradi wa maji Sima.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO AJIRA-UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA September 16, 2024
  • TANAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SENGEREMA August 07, 2024
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI UANDIKISHAJI NA BVR August 08, 2024
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • SENGEREMA YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MIKOPO YA MILIONI 362

    March 05, 2025
  • UMOJA WA WANAWAKE SENGEREMA WATOA MISAADA

    March 04, 2025
  • CHUO KIKUU CHA ARDHI 'KAMPASI' YA SENGEREMA KUANZA KUJENGWA FEBRUARI 2025

    February 03, 2025
  • CHUO KIKUU CHA ARDHI 'KAMPASI' YA SENGEREMA KUANZA KUJENGWA FEBRUARI 2025

    February 03, 2025
  • Ona vyote

Video

DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA SENGEREMA
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.