IDARA IMEGAWANYIKA KATIKA MAENEO MAKUU MATATU:-
(i) Kitengo cha Kilimo
(ii)Kitengo cha Umwagiliaji
(iii) Kitengo cha Ushirika.
Eneo hili linajihusisha na Maendeleo ya kilimo cha mazao yote ikiwa ni pamoja na udhibiti wa magonjwa na visumbufu.
Majukumu ya Kitengo cha Kilimo cha Umwagiliaji katika Halmashauri ya wilaya Sengerema ni kama ifutavyo:-
Majukumu ya Kitengo cha Ushirika wilayani ni kama ifutavyo:-
Kitengo cha Ushirika hushughulika au hufanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika Na 6 ya mwaka 2013 pamoja na Kanuni ya vyama vya Ushirika ya mwaka 2015
Aidha Kitengo cha Ushirika pia hufanya kazi kwa maelekezo kupitia Waraka mbalimbali zinazotolewa na Mrajis wa vyama vya Ushirika Tanzania Bara.
Kazi zinazofanywa na Kitengo cha Ushirka ni pamoja na:-
Kitengo cha Ushirika ni sehemu ya Halmashauri ya Wilaya, Hutekeleza kazi zote ambazo Halmashauri hupaswa kuzitekeleza kwa manufaa ya wananchi na Halmashauri kwa ujumla
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.