Posted on: December 9th, 2022
Wananchi wilayani Sengerema mkoani Mwanza wametakiwa kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana wilayani humo ukilinganisha na kabla ya uhuru ambapo kulikuwa na changamoto nyingi za kimaendeleo.
...
Posted on: December 8th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Binuru Shekidele amezitaka shule za Sekondari zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema kuhakikisha zinashirikiana katika kut...
Posted on: December 4th, 2022
Katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza imezindua rasmi zoezi la upandaji wa miti lenye lengo kuhifadhi mazingira katika maeneo yote ya Wilaya....