Uongozi wa shule ya sekondari Nyamatongo umepokea msaada wa mifuko 600 ya seruji kutoka katika kampuni ya Tanga Simenti, ikiwa ni jitihada za kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuri lengo ikiwa ni kuhakikisha watoto wa kike wanakuwa na mazingira bora ya kusomea na kujifunzia.
Akizungmza mwenyekiti wa bodi ya Tanga Simenti Dr.Laurence Masha amewaomba wakazi wa kata ya Nyamatongo, kuwa na mpango mkakati wa kuhakikisha mradi wa ujenzi wa Hostel kwa ajili ya watoto wa kike kujikinga na vishawishi toka kwa majanaume yenye tamaa na watoto wa kike.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.