Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata jimbo la Sengerema mkoani Mwanza wametakiwa kuzingatia taratibu , kanuni,sheria na miongozo ya uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa uhuru na haki kauli hiyo imetolewa na hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya sengerema ndg Evoid kisoka wakati akiwaapisha wasimamizi hao walioanza mafunzo ya kuelekea uchaguzi ngazi ya kata.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.