Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Afya Buzilasoga katika kijiji cha Kanyerere unaotekelezwa chini ya Mradi wa TASAF wazinduliwa rasmi na kuanza shughuli za ujenzi mara moja.
Akizindua shughuli za ujenzi wa Kituo hicho Mkuu wa wilaya ya Sengema Mhe. Senyi Ngaga amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika kuchangia nguvu kazi kama moja ya takwa la mradi.
Ujenzi wa Mradi mpaka utapokamilika unatarajiwa kugharimu kiasi cha shiling milioni 523 ambao uatakuwa msaada kwa wananchi wa Buzilasoga pamoja na maeneo jirani.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.