Akiwasilisha taarifa hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema amewaomba wahe. Madiwani kuwa na ushirikiano. Hatan hivyo amekili kuwa ni kweli kuna baadhi ya maeneo hayakufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 jambo ambalo limefanya Halmashauri kutofikia malengo yake, ikiwa ni pamoja na baadhi ya vyanzo vya mapato kutoweza kukusanyika na hivyo ameahidi kwa mwaka 2017/2018 jambo hilo halitajitokeza kwani bajeti ya Halmashauri imezingatia uhalisia wa makusanyo ya ndani ya Halmashauri.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.