Watumishi kutoka tasisi ya kifedha NMB Tawi la Sengerema wameshirikiana pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Sengerema katika kusherekea maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika maeneo ya umma ikiwa ni pamoja na kusafisha mitaro ya balabala na kuondoa taka ngumu katika vizimba vya uchafu katika mji wa Sengerema.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.