Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw Samike amefanya ziara katika Halmashauri ya wilaya ya Sengerema katika miradi mbalimbali ya Afya ambapo ameupongeza uongozi wa Halmashauri hiyo huku akisisitiza changamoto ndogo ndogo zilizojitokeza kuhakikisha zinafanyiwa kazi mapema iwezekanavyo ili kuboresha huduma zinazotolewa katika vituo hivyo vya afya.
Miradi aliyotembelea Samike ni Kituo cha Afya Kamanga, Zahanati ya Chamabanda, Kituo cha Afya Katunguru, Kituo cha Afya Ngomamtimba, Kituo cha Afya Sengerema pamoja na Mradi wa ujenzi wa Jengo la dhalura linalijengwa katika Hospital ya wilaya iliyopo katika kata ya Mwabaluhi
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.