Kamati ya Uongozi ya Halmashauri ya wilaya ya Sengerema ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Magesa Mfuru Bonoface wamezipongeza kamati nzote za usimamizi wa Hospital ya Wilaya ambayo imeanza na ujenzi wa majengo wawili ambayo ni jengo la Wagonjwa wa nje (OPD) pamoja na jengo la Maabara.
Itakumbukwa kuwa ujenzi wa majengo haya umefanywa kupitia 'Force Account' ambapo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tnzania Dkt. John Pombe Magufuri alitoa fedha kiasi cha mil 500 ikiwa ni awamu ya kwanza ya ujenzi.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.