Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri leo imekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Utawala linalojengwa na SUMA JKT kwa gharama ya shilingi bilioni 3.4 ambalo lipo katika hatua ya msingi.
Kamati hiyo pia imekagua zoezi la ulipaji wa mapato ya Halmashauri hususan vituo vya Mafuta ambapo kamati hiyo imewataka wafanyabishara hao kulipa ushuru wa huduma kwa wakati ili kuisadia Halmashauri kuendelea kutimiza majukumu yake ya kila siku.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.