• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Tehama na Takwimu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Uhasibu
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasiri na Uhifadhi wa Mazingira
      • Taka ngumu na Usafishaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

CHUO KIKUU CHA ARDHI 'KAMPASI' YA SENGEREMA KUANZA KUJENGWA FEBRUARI 2025

Posted on: February 3rd, 2025

Ujenzi wa tawi jipya la chuo kikuu cha ardhi  kinachojengwa wilayani Sengerema katika kijiji cha Karumo kata ya Nyamatongo utaanza tarehe 17 Februari 2025.


Akiongea wakati wa makabidhiano ya eneo la ujenzi wa chuo hicho kwa Mkandarasi  wa mradi huo kampuni ya Comflix Engenering Ltd. Makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Ardhi Profesa Evaristo Liwa amesema, ujenzi wa mradi huo unajengwa kupitia mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET) kwa gharama ya shilingi bilioni 16, hivyo amemtaka mkandarasi huyo kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa mradi huo kwa wakati.


"Ni matarajio ya Serikali kuwa, ujenzi wa mradi huu utakamilika kwa wakati na kuleta matokeo yakiyokusudiwa, hivyo nimwombe mkandarasi kuhakikisha tunamaliza ujenzi kwa wakati ili tuweze kuona matunda ya chuo hiki" amesema Prof. Liwa.


Kwa upande mwingine Prof. Liwa amewashukuru wananchi wa kata ya Nyamatongo kwa kukubali kupisha ujenzi wa chuo hicho ambapo pia ameupongeza uongozi wa Halmashauri kwa kutoa ushirikiano tangu kutambulishwa kaa mradi huo ambapo pia Hlamshauri ya Wilaya ya Sengerema imesimamia  vyema zoezi la uthamini wa eneo la chuo hicho.


Naibu Makamu Mkuu wa chuo Kikuu cha Ardhi anayeshughulikia taaluma, tafiti na ushauri Prof. John Lupala amesema ujenzi wa chuo hicho kwa awamu ya kwanza utaanza na majengo matano ambayo  madarasa, jengo la taaluma na ofisi, mabweni ya wanafunzi, jengo la walimu pamoja na Zahanati kwa gharama ya shilingi bilioni 16 na milioni 300 kwa muda wa miezi 15 ambapo amesema chuo hicho kikikamilika kitakuwa na uwezo wa kudahili wanachuo zaidi ya 2000 kwa ngazi ya shahada, diploma na cheti.


Akiongea kwa niaba ya mwenyekiti wa Halmashauri, diwani wa kata ya Nyamazugo Mhe. Enock Sengelema ameushukuru uongozi wa chuo hicho kwa kuamua kujenga tawi la chuo hicho katika wilaya ya Sengerema ambapo amesema Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema itatoa ushirikiano muda wakati wa utekelezaji wa mradi huo.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO AJIRA-UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA September 16, 2024
  • TANAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SENGEREMA August 07, 2024
  • ORODHA YA MAJINA WALIOITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI UANDIKISHAJI NA BVR August 08, 2024
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU ASIFU MAENDELEO YA SENGEREMA

    May 19, 2025
  • DED SENGEREMA AGUSWA NA KERO ZA WATUMISHI

    May 02, 2025
  • SENGEREMA YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MIKOPO YA MILIONI 362

    March 05, 2025
  • UMOJA WA WANAWAKE SENGEREMA WATOA MISAADA

    March 04, 2025
  • Ona vyote

Video

DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA SENGEREMA
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.