Sunday 22nd, December 2024
@Kata ya katunguru
Mganga Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Sengerema anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Sengerema hasa wazazi wenye watoto wa kike wenye umri wa miaka 14 hadi 19 kupeleka watoto wao katika Kituo cha Afya kilichokaribu nawe. Chanjo hii inatolewa bure bila malipo yoyote.
Taarifa hii imetolewa na Kitengo cha Tehama na Uhusiano (w) Sengerema.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.