Tuesday 14th, October 2025
@SENGEREMA
MWENGE WA UHURU 2025 Kauli Mbiu: "Jitokeze kushiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu"
Mwenge wa uhuru wilaya ya Sengerema utapokelewa katika Kata ya Busisi siku ya tarehe 30 Agosti 2025 ukitokea wilaya ya Misungwi na utakesha katika viwanja vya shule ya Msingi Sengerema na utakabidhiwa katika Halmashauri ya wilaya ya Buchosa siku ya tarehe 31 Agosti 2025.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.