Zoezi la kuhamisha wafanya biashara ndogo ndogo (Wamachinga) waliokuwa kandokando ya barabara na maeneo mengine limefanyika vizuri. Tumefanikiwa kuwapanga wamachinga 1,190 kutoka maeneo yasiyo rasmi na mengine kwenda kwenye soko jipya lililopo Nyatukala (Kisima cha chumvi). Aidha Wafanyabiashara wenye leseni wameongezeka kutoka 6,172 mwaka 2021/2022 hadi 6,250 mwaka 2022/2023, hali hii imechangia kuboresha mapato ya Serikali Kuu (TRA) na ya Halmashauri kupitia malipo ya leseni.
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.