• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango na Uratibu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Tehama na Takwimu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Mawasiliano Serikalini
      • Fedha na Uhasibu
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasiri na Uhifadhi wa Mazingira
      • Taka ngumu na Usafishaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Kilimo

Halmashauri ya Sengerema wananchi wake wanajishughulisha na kilimo cha Pamba, Mahindi  pamoja na Mpunga

Shamba la mahindi

KILIMO BORA CHA PAMBA

UTANGULIZI

Cotton (gossypium hirsutum)   Pamba ni moja la zao ambalo pia hurimwa nchini Tanzania, hukuzwa kwa kutumia tunda lake pia hilo tunda hua na nyewele nyeupe, hizo nywele ndio hutumika kutengeneza uzi na nguo.   Pia mbegu za pamba hutumika kutengeza mafuta, mafuta ambayo tunatumia kupikia, namashudu ya mbegu hua na kasi cha protein ambayo mashudu hayo hutumika kama chakula kwa mifugo.

HALI YA HEWA NA UDONGO   

Pamba hustawi vizuri katika maeneo yenye joto, kwa hapa tanzania hufanya vizuri katika mikoa ya kanda ya ziwa yaan chini ya 1400m kutoka usawa wa bahari mfano Mwanza, shinyanga na geita.  pamba huitaji kiasi cha mvua 25mm kwa miezi miwili ya kwanza,katika mwezi wa nne pamba huitaji kiasi cha mvua 75mm,na katika miezi inayo fuata pamba huitaji mvua ndogo ili kuwezesha pamba kukomaa.pamba hustawi vizuri katika udongo wa aina nyingi, japo kua haiitaji ardhi inayo tuamisha maji,ila katika udongo wenye PH chini ya 5.0 pamba haistawi vizuri.
AINA   Aina nyingi ambazo hulimwa Tanzania zimefanyiwa utafiti na kugunduliwa ukiriguru,aina nyigi za ukiliguru huitwa UK au UKA variety. mbegu hizo hufanya vizuri zaidi katika mikoa ya kanda za magharibi. aina nyingine zimetokea ilonga aina hizo nyingi huitwa IL mfano IL 85 Variety. mbegu hizo hufanya vizuri katika mikoa ya mashariki.


KUPANDA 

 Andaa shamba kwa kutumia jembe la mkono, ng'ombe au tractor, kama unapanda maeneo yenye udongo mzito weka matuta kwa kufanya mistari ya contua.panda mbegu 6 hadi 10 katika kila shimo, nafasi hutegemea na eneo ulilopo. kama upo maeneo ya magharibi tumia nafasi 60cm x 15cm kama , kama unatumia matuta tumia nafasi 150cm na panda mistari miwili kila tuta. nafasi ya mistari ni 45cm na nafsi ya mimea ni 45cmkama unapanda pamba katika mikoa ya pwani tumia 90cm x 30cm.


KUNG'OLEA

Mimea inapofikisha urefu wa 10cm hadi 15cm unatakiwa kung'olea, kwa maeneo ya magharibi acha mmea 2 katika shimo na kwa mikoa ya pani acha mmea 1 katika shimo.ng'olea mapema baada ya palizi ya kwanza.


PALIZI 

Unatakiwa kupalilia pale unapo taka kung'olea baadae unaweza kupalilia kadri na jinsi magugu yanavo ota shambani.katika mashamba makubwa unaweza kufanya palizi kwa kutumia viua gugu, kiuagugu kinacho fanya vizuri ni diuron, na zingatia kusoma maelezo ya mtengenezaji kabla ya kutumia.


MBOLEA 

Kama mbolea ya samadi inapatikana unatakiwa kuweka mbolea mapema katika kipindi cha kuandaa shamba,kama samadi haipatikani unaweza kuweka 125kg ya single super phosphate katika shamba la ukubwa wa hekta moja kama mbolea ya kupandia.baada ya wiki 6 toka mda wa kupanda unaweka mbolea ya kukuzia yaani SA au CAN, tumia mbolea kiasi cha 125kg katika hecta moja ya shamba. nzingatia kuweka mbolea baada ya kupalilia na kung'olea.


WADUDU NA MAGONJWA   

Pamba huasiliwa na wadudu wa aina nyingi sana mfano vitumba wa marekani, vitumba wekundu, vitumba wa awaridi, nematodes, mchwa na vidudu mafuta.pia kunanjia mbalimbali ya kuzuia wadudu hao, njia mojawapo ni kama vile kutumia viuadudu , pulizia dawa angalau wiki mbili mara sita, pulizia dawa kuanzia wiki 6 toka kupanda.dawa za kuua wadudu ni kama carybryl na endosulfuan.
Magonjwa yanayo asili pamba ni kama vile bacteria bright, fulsalium wilt na vertllium wilt.tumia dawa za fungus na pia zingatia kuanda mbegu zinazo staimili magonjwa.

Shamba la  Mpunga.

WAKULIMA WASHAURIWA KUANZA KULIMA MHOGO KAMA ZAO LA BIASHARA KUTOKANA NA UHITAJI MKUBWA




Ni jioni. Lakini Joram Mikanda  bado yupo shambani, Akitazama kama mihogo imekomaa tayari kwa kuuzwa. Mr Mikanda nimkulima mzoefu wa mihogo, amekua akilima mihogo tango mwaka 1990, na ametumia jitihada zake zote katika kulima mihogo.
Mr. Mikanda anaishi katika kijiji cha Kitahana kilichopo mkoani kigoma, ambapo kunamahitaji makubwa ya mihongo kwaajili ya kutengeneza bia na kusafirisha katika nchi jirani.
Kimila, watu wa ukanda huu wa Tanzania hawali sana mihogo, hupenda kutumia maindi kwaajili ya kutengeneza uga wa kupika ugali. Lakini kulingana na uhitaji wakulima wengi wameamaska kulima mihogo. kama zao la biashara. Wakulima husafirisha mihogo kwenda Burundi, Rwanda na Congo.
Mr. Mikanda anaelezea; nauza mihogo mibichi katika soko la ndani na pia na safirisha mihogo mikavu nje ya nchi.... Kwanzia 1990 nimeku nikisafirisha mihogo kwenda burundi kwa kutumia baisikeri na nimekua nikiuza shilingi 20 hadi 50 kwa kilo  [US$0.01 to US$0.02]  lakini ilikua ningumu na hatari kusafirishamihogo kwa baiskeli nakupita mistuni.
Mr. Mikanda anasema NGOs na maafisa ugani wanahamasisha wakulima kulima mihogo kwa sababu inaitajika sana katika makambi ya wakimbizi na pia katika nchi jirani.
Christopher Chubwa ni mkulima katika kijiji cha Kitahana alie anza kulima mihogo kama zao la biashara mwaka 2000, na sasa anaweza kusaidia familia yake kwa kupitia mapato ya mihogo na anauza mihogo katika kambi la wakimbizi la Nduta na pia anasafirisha mihogo mibichi na mikavu katika nchi za Rwanda, Burundi, Congo, naUganda.”
Mr. Chubwa anasema kwake shamba la mihogo nikama mgodo, anasema watu pia wameanza kutengeneza unga wa mihogo kwaajili ya wanyama na binadamu.Anaongezea kusema wameunda kikundi cha wakulima 25 na wanataka kujenga jengo kwaajili ya kuprocess mihogo.
Victor Kabunga ni afisa ugani na amefanya kazi kwa miaka tisa katika wilaya ya kibondo inayohusisha kijiji cha kitahama, mara kwa mara huwatembelea wakulima wa mihogo kufahamu jinsi wanavoendelea.na kuwapa ushauri. Anasema anawaelimisha wakulima wa mihogo , kama vile umbali wa kupanda na jinsi ya kuchagua miche bora, anaongeza kua wakulima na wafanya biashara wanapata kibari cha kuuza nje ya nchi kupitia wizara ya kilimo., anasema mwanga sasa unaonekana kwa wakulima wa mihogo na ndoto zake ni kuuza mihogo Africa nzima na ndio maana wanampango kwa kuanzisha kiwanda cha kuprocess mihogo. Anasema wanaiomba serikali kuboresha miundombini katika mkoawa kigoma ili kuwawezesha kusafirisha bidhaa zao bila usumbufu. Pia anasema mihogo imebadili maisha yao , anaelezea musimu ulio pita alitumia kipato alichopata kulipa ada za wanae.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA YA DEREVA II NA MTUNZA KUMBUKUMBU II November 11, 2022
  • Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Ukarani, Tehama na Usimamizi wa Maudhui katika Sensa ya Mwaka 2022 July 26, 2022
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili wa Kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji Daraja III, Katibu Muhtasi Daraja III na Dereva Daraja II July 05, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI SENGEREMA LAKOSHWA NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    March 15, 2023
  • DC SENGEREMA AKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI

    March 08, 2023
  • RC MALIMA ATIMIZA AHADI YAKE KWA WANANCHI WA MAMI

    March 08, 2023
  • BUYAGU KUWA KITUO CHA MFANO KILIMO CHA PAMBA

    March 02, 2023
  • Ona vyote

Video

RC ATOA SIKU NNE WAZAZI KUPELEKA WATOTO KIDATO CHA KWANZA
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0688223308

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.