Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema Ndg. Magesa Mafuru Boniface, anapenda kutoa taarifa kwa wakazi wa mji wa Sengerema pamoja na watumishi wote tarehe 12/10/2018 Siku ya Ijumaa itakuwa ni siku ya kuadhimisha Kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere katika Halmashauri yetu ya Sengerema.
Taarifa zaidi soma TAARIFA KWA UMMA.pdf
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.