Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema anawatangazia wananchi wote kwamba kutakuwa na zoezi la kitaifa la ubainishaji wa watoto wenye mahitaji maalumu (ulemavu) kuanzia umri wa miaka 4 hadi 6.
Taarifa kamili soma.Taarifa kwa Umma.pdf
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.