TAARIFA YA MIRADI YOTE INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA
NA
|
JINA LA MRADI
|
THAMANI (TSH)
|
CHANZO CHA FEDHA
|
TAREHE YA KUANZA MRADI
|
MUDA WA UKAMILISHAJI
|
NJIA YA MANUNUZI INAYOTUMIKA
|
HATUA YA MRADI ILIYOFIKIWA
|
MSIMAMIZI WA MRADI
|
22
|
Ujenzi wa miundombinu katika Shule ya Sekondari Bugumbikiso
|
71,000,000 |
Mapato ya ndani
|
12.09.2020
|
30.06.2021
|
Force Account
|
Ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa viko hatua ya upigaji wa rangi, Ujenzi wa matundu ya vyoo uko hatua za ukamilishaji na ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uko hatua ya uwekaji wa madirisha na milango na kupiga ripu
|
Mhandisi wa Ujenzi (w) na WEO - Chifunfu
|
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.