Halmashauri ya Sengerema inakadiriwa kuwa na idadi ya Mifugo kama ifuatavyo; Ngo’mbe 152,600, Mbuzi 135,404, Kondoo 6,860, Kuku 366,278, Nguruwe 2,591, Punda 42, Mbwa 9,078 Paka 8,291, Bata wa kawaida 68,752 na Bata Mzinga 189. Idadi ya majosho 22 yanayotumika ni 10 tu, Machinjio ndogo (Slaunghter slab) 8, vibanio 3, minada ya Ng’ombe 2 na Minada ya Mbuzi 3
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.