Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza imetembelea Mradi wa Kimkakati wa ujenzi wa Daraja katika kivuko cha Busisi - Kigongo linalojulikana kama Magufuli Bridge na kuridhishwa na hali ya utekelezaji wa mradi huo, akitoa neno la shukrani Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Ndg. Michael Augustine Makoye amewataka wananchi kuacha kubeza kuwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Serikali eti kuwa inasua sua.
Itakumbukwa kua mradi wa ujenzi huu unatarajiwa kukamika mapema mwanzoni mwa mwaka 2024 ambapo unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilion700
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0688223308
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz
Copyright ©2021 SENGEREMA DISTRICT COUNCIL . All rights reserved.