• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Sengerema District Council
Sengerema District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafishaji na Mazingira
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Majukumu ya Diwani katika Hamashauri
      • Wakuchaguliwa
      • Viti Maalumu
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Ukimwi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingizira
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
    • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Majukumu ya Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Jarida Tando
    • Nyaraka
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Makamu Mkurugenzi aridhishwa na maandalizi ya kuwapokea wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mapema mwakani

Posted on: December 23rd, 2020

Katika kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 wanakwenda shule, timu ya uongozi katika Halmashauri ya Sengerema imeamua kutoka ofisini na kwenda vijijini lengo ikiwa ni kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania aliyefaulu kujiunga na kidato cha kwanza hakosi nafasi hiyo.

Akitoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Bugumbikiso iliyopo katika kata ya Chifunfu Ndg. amesema wao kama uongozi wa serikali ya kijiji pamoja na kata wanaendelea na ujenzi kwa kasi iliyokusundiwa ili kufikia lengo walilopangiwa na kupokea wanafunzi wapya wa kidato kwa kwanza mapema mwakani

 Akizungumza Kaimu Mkurugenzi Ndg. Ndaro Samson amemtaka Eng William kuhakikisha anaandaa taarifa kamili ya kiasi cha gharama zinazohitajika ili kuweza kukamilisha maboma yote amabayo yapo katika Halmashauri yake lengo ikiwa ni kuhakiksha kila mwanafunzi aliyefaulu hakosi haki yake ya kisheria na kikatiba ya kupata Elimu.

Matangazo ya Kawaida

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2020 January 18, 2021
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2021 katika Halmashauri ya Sengerema December 20, 2020
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi na vya Kati kwa Mwaka 2020 June 17, 2020
  • Mwananchi zitambue sitahiki zako kupitia mwongozo wa huduma kwa wateja ndani ya Halmashauri yako December 28, 2017
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • Makamu Mkurugenzi aridhishwa na maandalizi ya kuwapokea wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mapema mwakani

    December 23, 2020
  • Kamati ya Uongozi katika Halmashauri ya Sengerema yaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya

    November 20, 2020
  • AMREF yatoa Elimu ya Fistura kwa wananchi

    August 21, 2020
  • Kampuni ya Orecop yaunga mkono mapambano dhidi ya Corona katika Halmashauri ya Sengerema

    May 19, 2020
  • Ona vyote

Video

Mhe. Mnwanizi aliyekuwa Diwani kupitia CHADEMA Sengerema ahamia CCM
Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Ramani Yetu
  • Jarida Tando la Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • OR-Tamisemi
  • OR-Ikulu
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani Yetu

Mawasiliano

    Sengerema District Council

    Anuani ya Posta: Box 175

    Simu ya Mezani: 028 2590162

    Simu: 0754650558

    Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz or dedsengerema@ymail.com

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani Yetu

Hakimiliki@2018. Halmashauri ya Sengerema. Haki zote zimehifadhiwa