Dira
Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ina lengo la kuwa na jumuiya iliyojifunza na kiwango cha maisha bora, ambao wanaishi kwa usawa na kwa amani mnamo Juni 2025
Dhamira
Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ni kutumia rasilimali zote zilizopo kutoka kwa washirika wote wa maendeleo kwa njia sawa na shirikishi, ili kutoa huduma bora kwa watu wake wote, kupunguza umasikini na kufikia maendeleo endelevu na ukuaji wa uchumi wa juu
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0754650558
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz or dedsengerema@ymail.com
Hakimiliki@2018. Halmashauri ya Sengerema. Haki zote zimehifadhiwa