Kupata salary slip Bonyeza hapa Salary Slip Portal ili uweze kujisajili na kupata Salary Slip kwa Mwezi unaouhitaji,
kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na ofisi ya TEHAMA ili kupata masaada wa karibu bila gharama yeyote.
Zingatia yafuatayo:
Sengerema District Council
Anuani ya Posta: Box 175
Simu ya Mezani: 028 2590162
Simu: 0754650558
Barua pepe: ded@sengeremadc.go.tz or dedsengerema@ymail.com
Hakimiliki@2018. Halmashauri ya Sengerema. Haki zote zimehifadhiwa